Free Web Hosting Provider - Web Hosting - E-commerce - High Speed Internet - Free Web Page
Search the Web


KARIBU GRANDMASTER RECORDS!
  ukurasa mkuu | Picha kibao zipo hapa | Wasiliana nasi hapa | Washirika wetu/masela  

HISTORIA FUPI YA GRAND RECS


Grandmaster Records imetokana na kazi nzuri iliyofanywa na inayoendelea kufanywa kwa ushirikiano mzuri kati ya Williams, Dennis Mallya, Alphonce Mallya(KING ABM), Liberator Mallya, John Mallya, MJ Records, Wasanii chipukizi kutoka Mkoani Arusha na mikoa mingine ya Tanzania, Ma-Dj wa ma-Disco mbalimbali,Watangazaji wa stesheni mbalimbali za redio nchini Tanzania, Kenya na Botswana, Bila kuwasahau wapenzi woooote! wa Grandmaster records pamoja na wapenzi wa muziki wenye asili ya ki-Tanzania ulimwenguni kote.



Grandmaster records ilianzishwa mwaka 2002 mwanzoni na inaonesha mafanikio makubwa sana tangu kuanzishwa kwake hadi leo hii.

Grandmaster Records ipo Arusha, barabara ya Dodoma-Nairobi.

KUNANI GRANDMASTER RECORDS?

Grandmaster Records inahusika na ku-buni na kutengeneza muziki wa asili ya ki-Afrika, Kwaya, Ragga muffin, Reggae, Blues, Hip hop(muziki wa kizazi kipya), matangazo ya kwenye Redio pamoja na mengine mengi kutegemeana na mahitaji ya mteja.Usisite, wasiliana nasi leo.

 


 

mambo kibao yanaongezeka hapa hivi karibuni!!

 


tuandikie mail hapa!


OFFICIAL WEBSITE OF GRANDMASTER RECORDS.


 




Copyright, 2002-2003.Grandmaster Records.